Rapper Ludacris ameamua kupropose kwa aliyekuwa mpenzi wake
Eudoxie Agnan ambapo kwa staili aliyotumia ni romantic kwa kweli, kam ilivyozoeleka kwa wengi kwamba tukitaka kupropose lazima tupige magoti alifu tuseme Will you marry me lakin haikuwa hivyo bali rapper aliamua kufanya kitu cha kipeke na kuandika kwenye majina Will you merry me “Eudoxie, would you marry me?” ambapo yalikuwa maandishi makubwa kwenye majani ya kijani
Hizi ni picha za jinsi ilivyo kuwa
Ingekuwa wew ingekuwaje lol
Post a Comment