Msanii Justin Bieber moja kati ya zawadi alizokuwa akizitarajia kwenye msimu huu wa Christmas ya mwaka 2014, ni kutoka kwenda kula bata na vitu ambavyo hakuwa kuwa navyo kipindi cha nyuma na katika kufanikisha hilo msanii huyo amenunua ndege yake ya binafsi maarufu kama private jet na kupitia kaunti yake ya Instagram aliandika hivi
“New jet for Christmas, and she’s beautiful,”
Hizi ni picha mbili ya Jeti hiyo aina ya G6 aliyonunua kwa zaidi ya Dola za kimareka millon 60 sawa na Billion 102 za kitanzania
Post a Comment