
Mastaa wawili wanaunda kundi la P square ambao ni Peter and Paul Okoye wako Carnival ambapo wamekwenda kusheherekea msimu huu wa sikuku za Christmas na mwaka mpya ambako kutoka huko wameachia picha za vituko wakiwa wamevalia mavazi ya kininja zitazame hapa chini







Post a Comment