Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 ambaye ni mkazi wa San Francisco ameonyesha ubunifu wa hali ya juu baada ya kuacha ndevu zake kwa muda zaidi ya miaka miwil na kuzitengeneza kwa style tofauti na kujizolea umarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii cnimekulete picha zaka akiwa katika mitindo tofauti ya kuachia ndevu zake
Post a Comment