Anajulikana kama Limpopo master ila jina lake la kazi ni KCee kutoka Nigeria ambapo ameshare picha ya magari yake anayomiliki mpaka sasa ambayo ya thamani kubwa katika soko la magari duniani ikiwa yoe haya amenunua ndani ya mwaka huu 2014 tu
Moja kati ya magari anayomiliki ni pamoja na Range Rover na Mercedes Benz G-Wagon.
Kupitia ukarasa wake wa Instagram ameshare picha za magari yake anayomiliki na kuandika hivi
“Thank you God for all your blessings in 2014. He is not a late God. He is able”
Post a Comment