Baada ya Nicki Minaj kuachana na ex boyfriend wake Drama zimehamia twitter, ambapo kama ujuavyo kuachwa inakuwa shughuli pevu ambapo imefikia wawili hao kutukana kwenye mitandao ya kijamii
Wiki zilizopita rapper Nicki Minaj alikuwa akijaribu kuelezea maumivu ya kimapenzi ambayo ameyasababisha boyfriend ambaye wamedumu kwa zaidi ya miaka 14 years anajulikana kwa jina la Safaree Samuels.Rapper huyo anasema alijaribu sana kuhakisha kuwa mahusiano yake na Safaree yanaenda sawai lakin Safaree alibadilika ghafla sasa baada ya rapper huyo kuhamishia mijadala mitandao kila mtu anataka kujua historia ya mapenzi ya staa huyo
Hizi ni baadhi ya tweets kutoka rapper Nick Minaj ambaye kwa sasa baragumi linaendelea huko twitter
Post a Comment