Richard Mofe Damijo

Wasanii kutoka Nigeria ambao kwa sasa wamekuwa gumzo kwenye media mbali mbali za Afrika baada ya kuwa na mali zenye gharama nyingi duniani,sasa baada ya media moja kubwa nchini humo imetoa list ya matajiri wote wanamiliki mkwanja mrefu ambao wanajihusisha na maswala ya filamu tu na hii

1. Richard Mofe Damijo


2. Jim Iyke


3. Nkem Owoh (Osuofia)


4. Chinedu Ikedieze (Aki)


5. Osita Iheme (Pawpaw)


6. Ramsey Nouah


7. Desmond Elliot


8. Mike Ezuruonye


9. Nonso Diobi


10. John Okafor (Mr Ibu)

Post a Comment

 
Top