4. Mti aina ya Steve Quick Jeweler maalumu kwa ajili ya Christmas ambao unathamani ya dola za kimarekani $500,000 ambapo mwaka 2007 ndio ulitengenezwa ukiwa na mapambo kama gold,carat stone bila ya kusahau diamonds ambayo ni madini haya.

The Most Expensive Christmas Trees in the World

3. Ni mti mwingine aina ya Soo Kee Jewellery Diamond wenye thamani ya dola za kimarekani $1,005,000 ikiwa imeundwa kwa madini ya diamonds pamoja na crystal beads pamoja na taa
 

The Most Expensive Christmas Trees in the World

2. Mti aina ya Ginza Tanaka ambao umeundwa kwa madini aina ya Gold kuanzia mwanzo mpaka mwisho una thamani ya dola za kimarekani  $1.6 Million


The Most Expensive Christmas Trees in the World

1. List ya mwisho kabisa ni mti aina ya Emirates Palace ambao unauzwa kwa dola za kimarekani $11.4 Million, umeundwa kwa madini kama gold,silver pamoja na taa. sio hivyo tu bali mpaka mikufu ya shingoni herini zikiwa zote hizi ni bidamu wa kawaida wanavaa lakin imewekwa kwenye miti ya Christmas

The Most Expensive Christmas Trees in the World





Post a Comment

 
Top