Kwa mujibu wa website ya E24-7 Magazine, wametoa picha ya nyumba anayomiliki staa Ini Edo ambaye ni muigizaji kutoka Nigeria, japo thamani ya nyumba hiyo haijajulikana ila ina thamani ya dola 378,276 zikiwa sawa na shilingi 605 Million za kitanzania
Picha ya Nyumba Anayomiliki Staa Ini Edo Kutoka Nigeria yenye Thamani ya Million 605 za Kitanzania.

Post a Comment