dawa ya kuongeza makalio yamtomtokea puani

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 27 kutoka Brazilia jina lake ni Andressa Urach ametumia zaidi ya mwezi akiwa ICU baada ya kujaribu kukuza makalio yake ila kwa bahati yakaomtokea puani na misuli yake ikaharibika baada ya kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio yake. Ebu zotazame picha hizi hapa chini

Baada ya kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio yake alirepoti kwa daktari aliyemfanyia upasuaji kwa hayupo huru wakati akitembea dawa ambazo huwa wanatumia kwa ajili ya kuongeza makali yao zinajulikana kwa jina la hydrogel

Hizi ni baadhi ya picha zake akiwa hospital kwa matibabu zaidi

   dawa ya kuongeza makalio yamtomtokea puani

  dawa ya kuongeza makalio yamtomtokea puani  

  dawa ya kuongeza makalio yamtomtokea puani  

  dawa ya kuongeza makalio yamtomtokea puani  

  dawa ya kuongeza makalio yamtomtokea puani dawa ya kuongeza makalio yamtomtokea puani   

Mwanzoni alikuwa hivi tizama picha hapo chini 

 dawa ya kuongeza makalio yamtomtokea puani  

Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

Top