meek mill




Nicki Minaj ameingia kwenye headline week hizi mbili tatu za nyuma na moja kati ya stori kubwa ni kwamba kuna tetesi kuwa ana mahusiano na Rapper Meek Mill. Lakini anachokifanya rapper huyo huko instagram na hizo picha anazopost ni shida nyingine ebu zitazame hapo chini 



meek mill

meek mill

meek mill


Na moja kati ya kauli zake ni kwamba kwenye picha hizo ni kwamba alishwagegeda wote hao wenye matako makubwa sasa tafsiri iliyopo ni kwamba rapper huyu anamicheuko kuacha mpenzi wake Nick Minaj au ndio stayle yake ya kulipigia promo umbo la Nick Minaj

Post a Comment

 
Top