fidel odinga na mkewe




Polisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndani ya nyumba yake iliyoke Karen jijini Nairobi,




Pia walifanikiwa kukuta jacket 
proof zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku  maarufu kama and night vision goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki silaha ndogo.

                  


Uchunguzi wa madaktari bado unaendelea na taarifa kamili utaipata hapa hapa endelea kuwa nasi kwa kubonyeza 
 Facebook Twitter na Instagram ili ubuyu wa habari moto unapotoka usikose kabisa.

Post a Comment

 
Top