romy jones na mpezi wake tuerny


Penzi lilipo baina ya Dj wa msanii Diamond Platnumz, Romeo Jones na Tuerny ambaye anafanana sana na Wema Sepetu ni la wazi sana na imefikia hatua hata wao wenyewe kuachia picha zao wakiwa sehemu za faraga na hata zile za screen saver kama alichofanya Romeo kuweka picha ya mpenzi wake na kupost kwenye social networker.


romy jones na mpezi wake tuerny 

Picha yao iliyovuja wakiwa chumbani iko hapa chini 


romy jones na mpezi wake tuerny 



Wengi wamekuwa hawamfamu Tuerny lakini historia fupi ni kwamba miaka ya nyuma alikuwa mpenzi wa Romeo lakini alimwacha na kwenda kuolewa marekani ila haikuisha mwezi akaachika na kurudi bongo na alivyorudi bongo wakarudiana na mpenzi wake wa zamani Romeo jones na ushahidi wa video iko youtube iko hapa chini na kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa



 





Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapaFacebook Twitter naInstagram

Post a Comment

 
Top