Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Feromena, mkazi wa Meko-Mitongani huko Kunduchi jijini Dar es Salaam, anatuhumiwa kwa kumcharanga viwembe mwanaye anayejulikana kwa jina la Zena (10), anayesoma darasa la nne katika shule ya Msingi Mtakuja.


Jumanne wiki hii nyumba kwa mwanamke huyo ambapo mama huyo inadaiwa alimpiga mwanaye vibaya na kuacha majeraha ya viwembe kichwani kwa mtoto Zena.








mama mzazi wa mtoto huyo akiwa chini yya ulizi




Mashuhuda wa tukio hilo, walidai kuwa mama huyo alimfungia ndani mwanaye na kuanza kumpa kipigo cha kufa mtu, mama huyo amekuwa akimpa kipondo mwanaye mara kwa mara kwa mcharanga na viwembe.

 


Credit; Hivisasa.co.tz


Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top