Anashika nafasi ya kwanza kwa wanawake akiwa na matiti makubwa kuliko wote lakin ni yale fake ya kuongeza ambapo jina lake ni Mayra Hills raia wa ujerumani.Kila titi lake moja lina ujazo wa kilogramu 10 sawa na ndoa ndogo ya maji na anavaa brazia size ya 32 ambapo kwa wanawake wanajua kuhusiana na hili yani zile nguo za kusimamisha maziwa, kama ujaavyo kuna wanawake wengine wanakua wanachukia miili yao sana lakin kwa huyu imekuwa ngumu na kila siku amekuwa akitupia picha zikionyesha maziwa yake yalivyo lol ebu tizama hapa chini ujionee
Exclusive; Mwanamke Mwenye Matiti Fake Makubwa Kuliko wote Duniani Huyu Hapa.

Post a Comment