Staa Jux Vuiton anayefanya poa na kibao chake cha Sikii ambayo single hii ilifanyika mwaka jana, ikiwa bado video yake ijatoka leo kupitia akaunt yake ya Instagrama ametoa kionjo cha Video yake ambapo Model wa Video hii ni mpenzi wake Vanessa Mdee iko hapa chini itazame 
A video posted by juma_jux (@juma_jux) on

Post a Comment

 
Top