ule msemo wa pesa sabuni ya Roho ndoo huu unaambiwa gauni alilovaa Lupita Nyongo wa kenya lilikuwa na Thamani ya Dollar za kimarekani  $150,000 sawa na Tsh Million 270 lakini baadae lilikuja kuibiwa.Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Mshindi wa Tuzo za Oscar Lupita Nyong’o gauni lake limepaina ndani ya jiji la London West Hollywood kwenye hotel ambayo mwanzo alichukulia Gauni hilo,

Thief returns Lupita’s Oscars dress 


Baada ya TMZ kufanya mahojiano na kijana huyo alichukua gauni hilo la Lupita alisema yeye na wenzake walifanikiwa kunyakuwa Gauni hilo baada ya kuona mlango wa chumba alichofikia Lupita kuoneka kuko wazi huku yeye hayupo na ndipo walipo chomo vidani viwili na kuvipeleka kwa sonara lakin kwa bahati mbaya sonara aliwaambiwa kuwa vilikuwa Fake, ndipo mwizi huyo alipo amua kurudisha gauni hilo maana lilikuwa halina Thamani tena kwao.



Thief returns Lupita’s Oscars dress 


Mimi najiuliza kwa hiyo hata hivyo vidani ni vifake hizo pesa zote alizotumia ni kwa ajili ya nini maana sioni kitu alicho nunua kama amenunua mpaka vidani fake lol.

Post a Comment

 
Top