Msichana Mmoja mkazi wa Jijini Dar aliyejulikana kwa jina la Biena amepata ya aibu ya mwaka baada ya kufumaniwa gesti akiwa na shemeji yake ambaye ni mume wa dada yake.



Mwanaume huyo alijulikana kwa jina la Abasi inasemakana wawili hao wamekuwa na uhusiano kwa muda mrefu kabla ya fumanizi hilo halijatokea, Dada wa msichana huyu anayejulikana kwa jina la mama Saida, mmoja wa shuhuda wa Tukio hilo alikuwa na haya ya kusema.

“Sasa siku ya tukio mama Saida ambaye ni mjamzito alikuwa kalala, tukamuona Abasi na Biena wakielekea gesti. Uzalendo ukatushinda, tukaona tumsaidie dada wa watu kuwafumania.“Tukaenda hadi kwenye ile gesti, tukawafumania wakiwa ndani, Abasi akaingia mitini mpaka leo hajulikani aliko, Beina akatoka na kukimbilia nyumbani kwa dada yake,” 




Kweli msimu wa masika na hizi baridi wenzetu wanaendelea kupeana mambo huku mpaka kwa shemeji ya mtu lol 

Post a Comment

 
Top