Baada ya Staa Jokate Mwagelo Kuachia single yake mpya ya Leo Leo wiki jana mapema leo magazeti ya global publisher yameripoti juu ya skendo yake mpya kuhusu picha zake za Utupu na tabia ya kucheza kwa kukata mauno mbele ya wanaume.

jokate picha za utupu


Taarifa hizi zimekuja baada ya Kanisa analosali staa huyu lililopo Oysterbay la Saint Peter kuja juu kutokana na vitendo vyake vya picha za utupu na tabia ya kucheza na kukatikia midume ikiwa ni kwa mijibu wa wanakwaya wa kanisa hilo.


Kichwa cha habari cha gazeti hilo linasomeka kama ifuatavyo 


jokae picha za utupu



Kweli kanisa linafuatilia mpaka story za mtu na maisha yake anayoishi nyumbani kwake au kwa kuwa Jokate ni Staa ndio mana!

Post a Comment

 
Top