Sauti Sol’s Bien

Muimbaji kutoka kundi la Sauti Sol Kenya Bien ametoa kioja cha mwaka baada ya kumwandikia msg ya Kimapenzi staa kutoka Nigeria Tiwa Savage.Wataalamu wanakuambia kwamba unaweza kuficha kila kitu lakini si mapenzi na ndicho kilichomtokea Staa huyo kutoka kundi la Saut Sol 

Tiwa savage


Kupitia Mtandao wa kijamii wa Instagram Bien aliandika kama ifuatavyo 


BAE!!!! #EMINADO #MyUgaliNMrenda… I miss you so much. Though we only met once; that day you sat next to me at the MAMAs. We actually didn’t talk but I could tell from how we looked at each other that we’re inlove. People be talking shit saying i should leave you alone cos youre married. I respect that. But life is a race and overtaking is allowed. He got there first so ill let him do the seat warming. Im patiently waiting for destiny to bring us together as it should. What was put together in heaven let no man lay asunder. Enjoy your day hun. #EMINADOO #EMINADOOOOO


Bien anajitahidi kueleza Jinsi alivyomis Tiwa Japo walikutana mara moja tu lakini Bien alidata kwa Bint huyo wa Kinigeria. 

Post a Comment

 
Top