rose mhando




Swala la Utoaji Mimba ni moja kati ya matukio yanayochukua Headlines sana hasa kuanzia miaka hii ya 2012 mpaka sasa na kama utakuwa mfuatiliaji wa vyombo vya habari utakuwa uliwahi kusikia issue ya Mwimbaji wa Injili Rose Muhando kutoa Mimba amerudi kurekebisha maasi yake aliyoyafanya.

Hit maker wa single ya Nibebe Rose Muhando ambaye kwa sasa yuko Kenya amesema kuwa chanzo cha yeye kutoa Mimba ni kutokana na kupata matatizo ya kiafya yaliompelekea yeye kutoka ujazito ili mtoto wake asidhurike na ametoa ahadi ya kuonyesha vyeti vya daktari kudhibitisha ugonjwa wake.

I was suffering from a strange disease that caused my legs to swell for three months. I will bring evidence from the doctor for you to understand that I’m not 18
Taarifa zingine endelea kuwa nasi na nitakupatia pale nitakapozipata. 

Post a Comment

 
Top