Baada ya kukaa muda mrefu bila ya kutoa siri za kuhusu yeye anatoka na nani kutoka kipindi kile cha Diva na Hudduh Monroe, Rapper CMB Prezzo ameamua kumuonyesha Demu wake mpya wa sasa kwenye mitandao ya kijamii.


girl friend wa prezzo


Wawili hao wamenionekana wakiwa pamoja muda mwingi huku kila mmoja akionekana kuwa na bashasha za kumtaka mwenzake lakin cha ajabu Prezzo hajataka jina la mpenzi wake lifahamike kwenye mitandao ya kijamii 

girl friend wa prezzo


Prezzo sasa utulie na uhuyu Chick ukiruka ruka tena utamkasaje mtoto huyu

Post a Comment

 
Top