Mwanamke mmoja mkazi wa Bwai wilayani Butiama anayejulikana kwa jina la Kudra Nanja March 31 mwaka huu alikumbwa na mkasa wa kikatili aliofanyiwa na mumewe kwa kuchomwa kwa moto na petroli yeye akiwa ndani kisa kikiwa hakijulikani na kusababisha kifo cha mtoto wake Tatu Simioni aliyekuwa na umri wa mwezi mmoja u nusu kufariki dunia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment