Staa Ray C ameangua kilio leo baada ya kunyimwa dawa aina Methadone ambaye kazi yake kubwa ni kuondoa addiction ya madawa ya kulevya ambayo amekuwa akiitumia kwa takribani miaka miwil sasa.
Leo kwenye Instagram yake amepost video hiyo huku akitoa machozi baada ya kunyimwa dawa hizi huku chanzo kikisemekana kuwa ni kuchelewa kuwahi hospital na sababu aliyotoa kuwa anatoka mbali ivyo kuna adha ya foleni tizama video hapa chini
Post a Comment