Screen Shot 2014-01-22 at 9.38.51 PM

Aliyekuwa Video Vixen wa Nje ya Box ambayo anaitwa Helen kwa sasa ana mahusiano ya Kimapenzi na na yule tunayesema Kanumba Feki anayejulikana kwa jina Rammy Galis ambapo mpaka sasa wanatimiza miaka miwili ndani ya Uhusiano wao.



Kwa wale wasiomjua Rammy alikuja kuibuka baada marehemu kanumba kufariki na watu wakasema jamaa anafanana naye sana wakamtungia jina la Kanumba Feki na sasa yuko kwenye Tansia ya Bongo Movie hapa Tanzania na amecheza Filamu kama Chausiku na Zakayo na zingine nyingi 











Post a Comment

 
Top