Msanii kutoka pande za kenya ajulikanae kama Jaguar ameonyesha hela ya muziki haimtoshi baada ya kuwa na gereji ya magari na pamoja na taksi sasa aja na matatu..

Msanii huyu ambae kwa sasa anavyanzo vingi vya ujasirilamali amesema kuwa juhudi na mafanikio yake sio kwa ajili ya kujitangaza tuu ila ni kusaidia vijana mbali mbali kuendesha miradi hiyo nakujipatia fedha za kujikimu kimaisha.....

Post a Comment

 
Top