Msanii wa Bongo movie anayetuhumiwa kuumuawa msanii mwenzake The late Steven Kanumba ajulikanae kama Elizabeth michael a.k.a Lulu jana alisomewa kesi yake inayo mkabili lakini suala la umri bado likendelea kupigwa chini.

Kutoka kwa Bw Kenneth Sekwa ambaye ni wakili wa serikali ambaye ndio anaye simama upande wa Lulu jana alidai kuwa ''umri wa Lulu bado haujakamilika kutokana na kutofanyiwa upelezi wa kina hivyo kesi yake imehairisha mpaka tarehe 17 December mwaka huu''

Hayo ni kwa muujibu wa wa wakili wa serikali...................................................

Post a Comment

 
Top