Picha hiyo Diamonda aliachia jana katiaka mtamndao wa instagram na facebook na kuandika hivi

#MaBabyMama #De'MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YoungPrezident.........


                 Hapo alikuwa ni diamond pamoja na Penny katika picha moja na mashabiki wa diamond



Hii inaonyesha wzi kuwa Mama yake Diamond katoke kumkubali sana Penny hapo ilikuwa katika show ya Diamond pale kigamboni walipoenda kumsndikiza Diamond 

Post a Comment

 
Top