Ndoa iliyokuwa
ikisubiriwa kwa hamu ya mwanamuziki kutoka Nigeria anayejulikana kama 2Face
Idibia na mchumba wake Annie
Macaulay Idibia sasa inatarajiwa
kufungwa Tarehe 23 March mwaka huu.
Mkewe mtarajiwa Annie
Macaulay Idibia aliandika hivi kupitia ukurasa wake wa facebook na kusema kuwa ndoa hiyo itafungwa
Dubai.
Post a Comment