Baada ya kutambulishwa rasmi kwa Label ya Unity
Entertainment ambayo iko chin ya msanii AY...
Msanii Feza Kessy kuachia
Track yake mpya Jumatatu ya Tar
11.02.2013.
Track hiyo ambayo itakwenda kwa jina la Amani Ya Moyo ambayo
imefanywa chini ya studio za Mpo Africa chini ya Producer Ben
Mwamba na kufanyiwa mixing na producer Marco
Chali..
Endelea kutembelea blog yetu utaipata hiyo track hapa
Post a Comment