STEVE JOBS
Imeripotiwa kwamba mwanzilishi wa Apple alitumia madawa
kweny muhula wa kwanza kule Reed College in Portland, Oregon mwaka 1972. Tangu
aach shule, Jobs amekuwa moja ya watu wenye mafanikio zaidi nchini America na
dunia nzima kwa ujumla. Mwaka 1984,medali ya Taifa ya Technology nchini
Marekani kutoka kwa rais wa kipindi hicho Ronald Reagan. Mwaka 2007, Fortune
Magazine walimtaja kama mtu mwenye nguvu zaidi kwenye biashara na kisha mwaka
2011 gavana wa California Arnold Schwarzeneggerallimuweka kwenye California
Hall of Fame.pia walimtaja kama CEO wa muongo (CEO of the decade) mwaka 2009
huku Forbeswakimuweka #57 kwenye list ya
“World’s Most Powerful People” mwaka huo huo.
Sir Richard Branson
Huku ile ‘Sir’ikimuweka kwenye list ya watu
wanaoheshimiwa zaidi, hiyo sio sababu ya yeye kuwa kwenye hii list.
Kinachomfanywa awekwe ni kwa sababu yeye anashika namba 236 kwenye watu
matajiri zaidi duniani, mwanzilishi wa Virgin empire, ambayo inashughulika na
vitu vingi kuanzia ndege mpaka maduka ya rekodi tofauti, simu,na ametengeneza
utajiri wake from scratch.Sio tu kwamba a, he gets high with his 21-year-old
son. alishasema mbele ya umati kwamba haoni tatizo kuhusu kutumia marijuana,na
amefanya mchakato kuhalalisha utumiaji wake,na pia amesema kama ikiruhusiwa,
atauza.
Michael Phelps
Jamaa ana medali nyingi za Olympics kuliko mtu mwingine
yoyote.. Tangu alipopata skendo ya kutumia madawa, Phelps alishiriki interviews
nyingi na kusema kuwa kilichotokea ni
“bad judgment,”na kuahidi kwamba kilichotokea hakitajirudia tena… hamna
kitu kama hicho.. Phelps . It might be his last, but it definitely wasn’t his
first. hii inamaanisha kwamba unaweza ukawa mwanamichezo namba 1 duniani lakini
bado unavuta pia. Stereotype shattered.
Francis Crick
Alishinda tuzo ya Nobel kwa kugundua ul mpangilio wa
“double-helix” kwenye DNA. Rumor has it that he was on acid at the time. .
Akiwa kama muanzilishi wa Soma, kikundi halali cha cannabis, pia alifanyia
uchunguzi marijuana, ambapo aliamini inasaidia kufanya mtu atoe mawazo akilini
mwake.
Barack Obama
Karibia kila raisi wa Marekani kabla ya Barry , kuanzia
Washington, Clinton mpaka Bush, historia yake imehusisha uvutaji wa marijuana.
Clintonalijaribu kwa makusudi lakini akashindwa, Bush alikuwa
super-mlevi,lakini alitumia madawa ya kulevya na marijuana mara moja moja,
Washington alikuwa na shamba kabisa ya marijuana shambani kwake. But as far as
we know, hakuna akiyewahi kukiri kama Obama. Ameandika kuhusu historia yake na
kuvuta marijuana/madawa ikwenye kitabu chake Dreams of My Father, na mwaka
2007kwenye intrview alisema “When I was a kid I inhaled frequently. That was
the point.” Yoyot yule anayejiuliza kuhusu mtumiaji wa Marijuana ana future
gani, amuangalie vizuri Barack Obama.Sio tu unaweza kuwa na akili, unaweza kuwa
hata rais.
Michael Bloomberg
Ameshawahi kutumia madawa alipokuwa mdogo?Kwa mdomo wake
amekiri “You bet I did. And I enjoyed it!”
Ted Turner
Akiwa peke yake aliwezakuanzisha CNN, na mwaka 1991
Gazeti la Times lilimtaja kama Man of Th YearAnamiliki ardhi kubwa marekani na
ana vituo vingine kadhaa nchini humo.Alilima marijuana bwenini kwak college.
Richard Feynman
Huyu ni mwanafizikia aliyesaidia kutengneza atomic
bomb. Sikusema wote kwenye list hii wana
busara. Feynman alitumia madawa akiwa anafanya tafiti mbali mbali akiwa
maabara. Alipotoka,alishinda Nobel Prizekutokana na nadharia yake ya “quantum
electrodynamics.”
Sergey Brin
Ana Bachelor of Science kutoka University of Maryland,
Masters of Science kutoka Stanford na alichukua kozi za PhD Stanford kabla ya kuelekeza nguvu zake
kuanzisha Google akiwa na Larry PageBaba yake ni profesa wa hesabu University of Maryland. Mama yake
ni mtafiti wa Sayansi kwenye ofisi za NASA zilizopo Goddard Space Flight
Center.Mke wake, Ann Wojcicki,ni biotech analyst aliye-graduate na Bachelor of
Science in biology kutoka Yale University mwaka 1996. Kama Stve Jobs, ni mmoja
wa watu matajiri zaidi duniani.
Arnold Schwarzenegger
Huyu ndio jamaa pekee kwenye hii list ambaye ameonekana
kwenye video akivuta madawa. Schwarzenegger ameacha uvutaji tangu alipewa ofisi
ya ugavana. According to Arnold, marijuana “is not a drug, it’s a leaf.”
Post a Comment