Jaguar_By_His_Car


Msanii anayefanya vizuri kutoka kule nchini kenya Jaguar hivi karibuni alikaririwa akisema anatengeneza pesa zaidi ya shilingi  1.2 million za kikenya sawa na shilingi 22,800,000 za kitanzania

Msanii huyo ambaye alifanya show kubwa 4 nchini kenya week ilipita ambapo katika kila show moja aliyofanya alitakiwa kulipwa  300,000 za kikenya sawa na shilingi 5.7million za kitanzania katika kila show moja...

Post a Comment

 
Top