.
Mchezaji Emmanuel Okwi Dec 21mwaka huu amefanya tendo la aina yake baada ya kumtambulishwa rasmi na mchumba wake aitwae Florence Nakalegga nyumbani kwao ambapo umefanyika huko Buloba, Kampala Uganda na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio zima la utambulisho ambazo zimepostiwa kutoka kwenye website ya mtangazaji wa Clouds Fm Millard Ayo zitazame hapa chini
.
Credit Millard Ayo
Post a Comment