Hit Mkaer wa Single ya Tubonge kutoka Uganda Jose Chameleone amaeachia picha zinazonyesha Parking ya Magari yake yanavyonekana, Msanii huyo ambaye kwa sasa anatimiza miaka kadhaa kwenye hili gemu la music hapa East Africa ambaye anashikilia Tuzo za Heshima haba Afrika Mashariki, Amachia picha hizi huku akiwahimiza mashabiki wake kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo yao na hiki ndicho alichokiandika 

Life life sweet life!!you can buy everything!!work hard. Only one thing you can never buy is u! You worthy millions of YOU.

Picha za magari yake yapo hapo chini Tizama ujionee Utajiri wake

 







Post a Comment

 
Top