Mtandao wa MediaTakeOut uliandika juu ya Story kuwa Staa Rihanna sasa ni mjamzito ambapo anayesemakana kumbebesha si mwingine bali ni mcheza Filamu Leonardo DiCaprio, Leo tena wakuja na taarifa mpya kuwa Rihanna amarudiana na Criss Brown 


Chris Brown and Rihanna back together



Wiki zilizopita Staa Chris Brown alifanya Interview kadhaa ambapo zote zilikuwa zikihusiana na bifu lake kati yake na Rapper Drake pia kuhusu mapenzi yake na Rihanna ambapo alithibitisha kuwa alimpenda sana Rihanna na hakuwahi kufikiria kama atakuja kuacha na Rihanna. Sasa mtandao wa MediaTakeout.com umesema kuwa Chris Brown pamoja na Ex wake Rihanna wameanza mawasiliano upya ambapo moja ya marafiki wa karibu wameuambia mtandao huo kuwa 

 “Chris is really going through it – with his legal trouble, tour issues, and now all this bad press – he reached out o the only one that really understands him, 

Story zingine zinasema kuwa siku ya jana Rihanna alikutana na Chris na mara walipo maliza mazungumzo waliagana kwa kusema  “I Love You”.


Hhahaha sasa Mrembo Karrueche . . . au Leonardo Di Caprio nani atapigwa chini kwanini na wao wasiate lol? No idea

Post a Comment

 
Top