Spika wa Bunge la Tanzania Mh Anne Makinda ambaye kwa sasa anamiliki nyumba yenye thamani takibribani billion moja na nusu,nyumba hiyo ambayo ipo maeneo ya uzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini.
Ujenzi wa nyumba hii umesimamiwa na kampuni ya Pacha Building Construction Company.Hii inakuwa nyumba ya kwanza rasmi ya Spika kwani hapo awali hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika.
Hizi ni baadhi ya picha za nyumba hiyo inavyoonekana
Mambo ya Fedha hayo
Post a Comment