Rapper G-Nako kutoka kundi la Nako 2 Nako Soldiers/WEUSI kutoka A-Town, G Nako ambae kwa sasa anafanya vizuri sana na ngoma yake ya ''Mama Yeyoo'' ambayo amemshirikisha mkali wa RnBanayejulikana kama  Ben Pol yuko njiani kurekodi kichupa cha ngoma hiyoya mama yeyo.


Kutoka twitter ben pol aliachia tweet hii hapa



Post a Comment

 
Top